HAWA NDIO MASTAR WA KIKE WAKALI SANA BONGO!!???
Posted on
Jun 27, 2013
|
2
Comments
sintah/ blogger, actress
Bridgitte Alfred (Miss Tanzania 2012)Tunakubariki miss tanzania
Millen Magese (former miss Tanzania)
Jokate Mwegelo (presenter/fashion designer)KIDOTI
Teddy Kalonga (model)
Mange Kimambi (creative director)muke ya muzungu..
Penny Mungilwa (Mtangazaji)muke ya mwanamuziki mukubwa bongo..
Jackline Ntuyabaliwe (Former Miss Tanzania)
Vanessa Mdee (Mtangazaji/Msanii)
Salma Msangi (Mtangazaji)
Jackie Cliff (model)alekizanda makwinii, BOSS LADYY(NANI KANUNA???
Hamisa anguwh (model) dada mlezi ahahahahhhh
So guys katika hii list dah!! Pongezi za dhati kabisa ziwaendeee kamati ya Miss Tanzania kwa kuibua watoto wakali ambao wanatikisa zaidi Bongo, mdau wangu we unaonaje kwani?? Tumepatia au tumebuma?? Nani kakosekana hapa kwenye listi ulitaka awekwe au mwingine kaekwa unataka atolewe?
Tupia comments zako tusomane vizuriiii!!!
Mi naungana na nyie kidogo kwani cjajua unaheki kigezo gani mi lulu mboni mtoto anafaha lakini kwenye list yenu majaza wangazaji kuna wengine awana lolote mmewaweka 2 cjajua nia yenu cwezi ongea xana ila 0jatenda aki jamani ivi wolper na peny nani anamvuto iyo km chaangamoto kuna watoto wakali mmewaaacha.
ReplyDeleteTupe list yako mama! Tutaipitia afu tatajua la kufanya kama kuna ukwelii ndani yake.
ReplyDelete