photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > GARI JIPYA LA MWIGIZAJI WEMA SEPETU.

GARI JIPYA LA MWIGIZAJI WEMA SEPETU.

Posted on Jul 25, 2013 | No Comments


Mwigizaji Staa ambae ndio ameongoza kwa kutokea kwenye headlines sana kwa miezi hii saba ya 2013 Wema Sepetu leo tena amemiliki hii post baada ya kupost picha ya gari lake jipya lenye rangi anayoipenda sana.
Wema ni mmoja wa mastaa wanaovutiwa na magari mazuri pia na hata kuendesha anapenda pia, alishawahi kuiambia millardayo.com kwamba kwa mara ya kwanza maishani mwake aliwahi kukimbiza gari kwa spidi kubwa mwaka 2012 wakati anatokea Dar es salaam City centre usiku na ilikua ni ile Audi yake.
Hakuna chochote alichokua anakiwahi Kijitonyama anakoishi ila tu alitaka kujipima kwa sababu pia barabara ilikua nyeupe.
JULY 25 2013
Hii hapa chini ni post ya meneja wa Wema Sepetu.
Martin Kadinda meneja

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru