photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MKUU WA MADHEHEBU YA SHIA ISMAILIA DUNIANI.

RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MKUU WA MADHEHEBU YA SHIA ISMAILIA DUNIANI.

Posted on Jul 18, 2012 | No Comments

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza  Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na  Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 18, 2012 kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru