photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > WAREMBO KUMI NA TANO KUSHIRIKI FAINALI YA REDDS MISS ILALA 2012

WAREMBO KUMI NA TANO KUSHIRIKI FAINALI YA REDDS MISS ILALA 2012

Posted on Aug 17, 2012 | No Comments

 Warembo wanaoshiriki kwenye shindano la Redds Miss Ilala wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye utambulisho
Mratibu wa Shindano la Redds Miss Ilala 2012 Gadner G Habash wa pili kushoto akizungumza na waandishi wa Habari kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounch juu ya kutambulisha warembo watakaoshiriki kwenye fainali ya Redds Miss Ilala na washindi watafanikiwa kuingia moja kwa moja kwenye fainali ya Redds Miss Tanzania, Kulia ni mmoja wa waratibu wa shindano hili Juma Mabakila.Cylivia Mashuda na Neema Mbula ambao ni walimu wa warembo hao.jumla ya warembo kumi na tano watashiriki kwenye kinyang,anyiro hicho kitakachofanyika 07/09/2012 kwenye ukumbi wa nyumbani lounch.Picha na Intellectuals Communications Limited).

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru