photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > TAHADHARI YA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA KUHUSU MVUA ZA EL NINO NDIO HII.

TAHADHARI YA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA KUHUSU MVUA ZA EL NINO NDIO HII.

Posted on Sep 5, 2012 | No Comments

Madhara ya mvua mabondeni
Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imetoa tahadhari ya uwepo wa mvua kubwa zinazofahamika kama El nino katika kipindi cha kuanzia wiki ya nne ya mwezi September hadi kufikia December 2012 katika maeneo mbalimbali Tanzania.
Mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo Dr. Agnes Kijazi amesema hizo mvua zinatarajiwa kusababishwa na mgandamizo mkubwa wa mfumo wa hewa kutoka katika misitu iliyo katika ukanda wa bahari ya hindi, tahadhari iwafikie wote wakiwemo wakulima na wanaoishi kwenye maeneo ya mabonde.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru