PHILIP MANGULA ATEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM
Posted on
Nov 11, 2012
|
No Comments

Kamati kuu ya CCM iliyo kaa hapa dodoma imempendekeza Philip
Mangula apigiwe kura na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM,Mangula amewahi kua
Katibu Mkuu wa CCM na ameshika nafasi mbali mbali ndani ya Chama. Kwa sasa
Philip Mangula ni Mashauri wa mambo ya siasa kwa Chama tawala cha Afrika ya
Kusini ANC,nafasi ambayo ameanza kuitumikia tangu mwaka 2008,ana sifika kuwa ni
mtu mwenye mbinu nyingi za kisiasa hasa kwenye masuala ya uchaguzi na mikakati
ya kueneza siasa.