photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MVUA YAZIDI KULETA MAAFA, SASA YAUA MOROGORO

MVUA YAZIDI KULETA MAAFA, SASA YAUA MOROGORO

Posted on Jan 7, 2013 | No Comments


Siku chache baada ya Malaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutoa tahadhari ya kuwapo mvua na upepo ikiutaja mkoa wa Morogoro kuwa miongoni mwa maeneo hatarishi, tayari mvua hizo zimesababisha maafa kwa kuua mtu mmoja , kuharibu nyumba 127, majeruhi tisa (9) katika maeneo ya kata za Kisaki na Mngazi.... ambako mvua yenye upepo na radi.
Taarifa za awali za TMA hizi hapa:
Mvua kubwa, upepo mkali, mawimbi baharini
Na huko Kigoma nako yalitokea:
Boti ya Mv Yarabi Tunusuru imezama na watu 9 wamefariki dunia

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru