photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MLİPUKO WA BOMU ARUSHA,VİWANJA VYA SOWETO KWENYE KAMPENİ ZA CHADEMA

MLİPUKO WA BOMU ARUSHA,VİWANJA VYA SOWETO KWENYE KAMPENİ ZA CHADEMA

Posted on Jun 15, 2013 | 1 Comment



Baada ya mlipuko kutoke polisi walipiga mabomu ya machozi,Je lengo lao lilikuwa ni nini haswa???

kwanini target iwe ni CHADEMA,na kwanini imetekelezwa siku ya hitimisho ya kampeni

Siasa hizi zinalenga ninh haswa??watu wasijitokeze kesho kupiga kura ama kuna mchezo zaidi ya huu umepangwa kufanyika

Vita ya Ukombozi ni vita visivyokwisha mpaka watu watakapo kombolewa,mabomu risasi na kutumia njea yoyote ile nje ya Demokrasia haiwezi kuzuia mabadiliko

watu waliojeruhiwa ni wengi na Mpaka sasa waliokufa wanafikia watatu.

Pole kwa makamanda waliojeruhiwa na tuwaombee Heri waliotangulia,hakika damu yao itakuwa chachu ya mabadiliko

Mungu İbariki Tanzania,Mungu İbariki chadema na viongozi wake wote na makamanda wote walio mstari wa mbele kuikomboa Tanzania.
Amein


Hivii ndivyo ilivyokuwa kwenye mkutano wa chadema kabla ya tukio.


Watu wauwawa kea kupigwa na bomu mjini Arusha wengi wAjeruhiwa vibaya Mbowe Lema wasalimika.

Comments:1